2 Nya. 31:6 SUV

6 Nao wana wa Israeli na Yuda, waliokaa mijini mwa Yuda, wakaleta pia zaka za ng’ombe na kondoo, na zaka za vitu vilivyowekwa wakfu, alivyowekewa BWANA, Mungu wao, wakaviweka chungu chungu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 31

Mtazamo 2 Nya. 31:6 katika mazingira