2 Nya. 32:14 SUV

14 Ni yupi miongoni mwa miungu ya mataifa wale walioharibiwa kabisa na baba zangu, aliyeweza kuwaokoa watu wake na mkono wangu, hata Mungu wenu aweze kuwaokoa ninyi na mkono wangu?

Kusoma sura kamili 2 Nya. 32

Mtazamo 2 Nya. 32:14 katika mazingira