2 Nya. 33:23 SUV

23 Wala hakujinyenyekeza mbele za BWANA, kama Manase babaye alivyojinyenyekeza; lakini huyo Amoni akaongeza makosa juu ya makosa.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 33

Mtazamo 2 Nya. 33:23 katika mazingira