2 Nya. 34:2 SUV

2 Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaziendea njia za Daudi babaye, asigeuke kwa kuume wala kwa kushoto.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:2 katika mazingira