2 Nya. 34:22 SUV

22 Basi Hilkia, na hao waliotumwa na mfalme, wakamwendea Hulda nabii mke, mkewe Shalumu, mwana wa Tohathi, mwana wa Hasra, mtunza mavazi; (naye alikuwa akikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili); wakasema naye kama hayo.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:22 katika mazingira