2 Nya. 34:25 SUV

25 kwa sababu wameniacha mimi, na kuifukizia uvumba miungu mingine, ili wanikasirishe mimi kwa matendo yote ya mikono yao; kwa hiyo ghadhabu yangu imemwagika juu ya mahali hapa, wala isizimike.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 34

Mtazamo 2 Nya. 34:25 katika mazingira