2 Nya. 35:14 SUV

14 Baadaye wakajiandalia wenyewe, na makuhani; kwa sababu makuhani, wana wa Haruni, walikuwa na kazi ya kutoa sadaka za kuteketezwa, na mafuta hata usiku; kwa hiyo Walawi wakajiandalia wenyewe, na makuhani, wana wa Haruni.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 35

Mtazamo 2 Nya. 35:14 katika mazingira