2 Nya. 35:16 SUV

16 Basi huduma yote ya BWANA ikatengenezwa siku ile ile, kuifanya pasaka, na kutoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya BWANA, kama alivyoamuru mfalme Yosia.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 35

Mtazamo 2 Nya. 35:16 katika mazingira