2 Nya. 35:20 SUV

20 Baada ya hayo yote, alipokwisha Yosia kulitengeneza hekalu, Neko, mfalme wa Misri, akakwea ili kupigana Karkemishi karibu na Frati; naye Yosia akatoka juu yake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 35

Mtazamo 2 Nya. 35:20 katika mazingira