2 Nya. 35:22 SUV

22 Walakini Yosia hakukubali kumgeuzia uso mbali, akajibadilisha apate kupigana naye, asiyasikilize maneno ya Neko, yaliyotoka kinywani kwa Mungu, akaja kupigana bondeni mwa Megido.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 35

Mtazamo 2 Nya. 35:22 katika mazingira