2 Nya. 35:3 SUV

3 Akawaambia Walawi, waliowafundisha Israeli wote, waliotakasika kwa BWANA, Wekeni sanduku takatifu katika nyumba aliyoijenga Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli; hamtakuwa tena na mzigo mabegani; sasa mtumikieni BWANA, Mungu wenu, na watu wake Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 35

Mtazamo 2 Nya. 35:3 katika mazingira