2 Nya. 36:21 SUV

21 ili kulitimiza neno la BWANA kwa kinywa cha Yeremia, hata nchi itakapofurahia sabato zake; kwa maana siku zote ilipokaa ukiwa ilishika sabato, kutimiza miaka sabini.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 36

Mtazamo 2 Nya. 36:21 katika mazingira