2 Nya. 4:13 SUV

13 na makomamanga mia nne ya nyavu mbili; safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, kuzifunika vimbe mbili za taji zilizokuwa juu ya nguzo.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 4

Mtazamo 2 Nya. 4:13 katika mazingira