2 Nya. 4:22 SUV

22 na mikasi, na mabakuli, na miiko, na vyetezo, vya dhahabu iliyosafika; na kwa habari za mahali pa kuingia nyumbani, milango yake ya ndani ya patakatifu pa patakatifu, na milango ya nyumba, yaani ya hekalu, ilikuwa ya dhahabu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 4

Mtazamo 2 Nya. 4:22 katika mazingira