2 Nya. 4:8 SUV

8 Akafanya na meza kumi, akazitia hekaluni, tano upande wa kuume, na tano upande wa kushoto. Kisha akafanya mabakuli mia ya dhahabu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 4

Mtazamo 2 Nya. 4:8 katika mazingira