2 Nya. 5:2 SUV

2 Ndipo Sulemani alipowakusanya wazee wa Israeli, na wakuu wote wa kabila, wakuu wa mbari za mababa wa wana wa Israeli, huko Yerusalemu, ili walipandishe sanduku la agano la BWANA kutoka mji wa Daudi, yaani, Sayuni.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 5

Mtazamo 2 Nya. 5:2 katika mazingira