2 Nya. 5:6 SUV

6 Mfalme Sulemani, na mkutano wote wa Israeli, waliokutanika kwake, walikuwako mbele ya sanduku, wakichinja dhabihu za kondoo na ng’ombe, wasiohesabika wala kujumlishwa kwa kuwa wengi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 5

Mtazamo 2 Nya. 5:6 katika mazingira