2 Nya. 6:14 SUV

14 akasema, Ee BWANA, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu kama wewe, mbinguni, wala duniani; ushikaye maagano na rehema kwa watumishi wako, waendao mbele zako kwa moyo wao wote;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:14 katika mazingira