2 Nya. 7:14 SUV

14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 7

Mtazamo 2 Nya. 7:14 katika mazingira