2 Nya. 7:22 SUV

22 Nao watajibu, Kwa sababu walimwacha BWANA, Mungu wa baba zao, aliyewaleta kutoka nchi ya Misri, wakashikamana na miungu mingine, wakaiabudu, na kuitumikia; kwa hiyo ameyaleta mabaya haya yote juu yao.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 7

Mtazamo 2 Nya. 7:22 katika mazingira