2 Nya. 7:5 SUV

5 Mfalme Sulemani akatoa sadaka ya ng’ombe ishirini na mbili elfu, na kondoo mia na ishirini elfu. Ndivyo mfalme na watu wote walivyoifanya wakfu nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 7

Mtazamo 2 Nya. 7:5 katika mazingira