2 Nya. 7:8 SUV

8 Basi, wakati ule Sulemani akafanya sikukuu, na Israeli wote pamoja naye, kusanyiko kubwa sana, toka maingilio ya Hamathi mpaka kijito cha Misri, muda wa siku saba.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 7

Mtazamo 2 Nya. 7:8 katika mazingira