2 Nya. 8:11 SUV

11 Sulemani akamleta binti Farao kutoka mji wa Daudi mpaka nyumba aliyomjengea; kwa kuwa alisema, Mke wangu hatakaa nyumbani mwa Daudi mfalme wa Israeli, kwa kuwa ni patakatifu, mahali palipofika sanduku la BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 8

Mtazamo 2 Nya. 8:11 katika mazingira