16 Basi ikatengenezwa kazi yote ya Sulemani hata siku ya kutiwa msingi wa nyumba ya BWANA, na hata ilipokwisha. Hivyo ikamalizika nyumba ya BWANA.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 8
Mtazamo 2 Nya. 8:16 katika mazingira