9 Wala katika wana wa Israeli Sulemani hakuwafanya watumwa kazini mwake; lakini hao walikuwa watu wa vita, na wakuu wa majemadari wake, na maakida wa magari yake na wa wapanda farasi wake.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 8
Mtazamo 2 Nya. 8:9 katika mazingira