2 Nya. 9:12 SUV

12 Mfalme Sulemani akampa malkia wa Sheba haja yake yote, kila alilotaka, zaidi ya vile alivyomletea mfalme. Basi akarudi, akaenda zake katika nchi yake, yeye na watumishi wake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 9

Mtazamo 2 Nya. 9:12 katika mazingira