2 Nya. 9:9 SUV

9 Basi akampa mfalme talanta mia na ishirini za dhahabu, na manukato mengi mengi sana, na vito vya thamani; wala haukuja wingi wa manukato, kama hayo aliyopewa mfalme Sulemani na malkia wa Sheba.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 9

Mtazamo 2 Nya. 9:9 katika mazingira