2 Sam. 17:21 SUV

21 Kisha ikawa, baada ya kuondoka kwao, wale wakatoka kisimani, wakaenda wakamwarifu mfalme Daudi; wakamwambia Daudi, Ondokeni, mkavuke maji haya upesi; maana ndivyo alivyotoa shauri Ahithofeli juu yenu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 17

Mtazamo 2 Sam. 17:21 katika mazingira