2 Sam. 17:22 SUV

22 Ndipo Daudi, na watu wote waliokuwa pamoja naye, wakaondoka, wakavuka Yordani; na kulipopambazuka hakubaki mmojawapo wao asiyevuka Yordani.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 17

Mtazamo 2 Sam. 17:22 katika mazingira