2 Sam. 23:17 SUV

17 Akasema, Hasha, BWANA, nisifanye hivi; je! Si damu hii ya watu hao waliohatirisha nafsi zao? Kwa hiyo hakukubali kuyanywa. Hayo ndiyo waliyoyafanya wale mashujaa watatu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 23

Mtazamo 2 Sam. 23:17 katika mazingira