Amo. 9:6 SUV

6 Yeye ndiye avijengaye vyumba vyake mbinguni, na kuweka misingi ya kuba yake juu ya nchi; yeye ndiye ayaitaye maji ya bahari, na kuyamwaga juu ya uso wa nchi; BWANA ndilo jina lake.

Kusoma sura kamili Amo. 9

Mtazamo Amo. 9:6 katika mazingira