Amo. 9:7 SUV

7 Je! Ninyi si kama wana wa Wakushi kwangu mimi, enyi wana wa Israeli, asema BWANA? Je! Mimi sikuwapandisha Israeli toka nchi ya Misri, na Wafilisti toka Kaftori, na Washami toka Kiri?

Kusoma sura kamili Amo. 9

Mtazamo Amo. 9:7 katika mazingira