Amu. 1:14 SUV

14 Ikawa hapo alipokwenda kukaa naye, huyo mwanamke akamtaka ili aombe shamba kwa baba yake; na huyo mwanamke akashuka katika punda wake; Kalebu akamwuliza, Una haja gani utakayo?

Kusoma sura kamili Amu. 1

Mtazamo Amu. 1:14 katika mazingira