Amu. 11:35 SUV

35 Ikawa alipomwona akayararua mavazi yake, akasema, Ole wangu! Mwanangu, umenitweza sana, nawe u mmoja miongoni mwa hao wanisumbuao; kwa kuwa mimi nimemfunulia BWANA kinywa changu, nami siwezi kurejea nyuma.

Kusoma sura kamili Amu. 11

Mtazamo Amu. 11:35 katika mazingira