Amu. 11:36 SUV

36 Binti yake akamwambia, Baba yangu, wewe umemfunulia BWANA kinywa chako; basi unifanyie sawasawa na hayo yaliyotoka kinywani mwako; kwa kuwa yeye BWANA amekulipia kisasi juu ya adui zako, hao wana wa Amoni.

Kusoma sura kamili Amu. 11

Mtazamo Amu. 11:36 katika mazingira