Amu. 13:20 SUV

20 Kwa maana, ikawa, mara huo mwali wa moto ulipopaa juu mbinguni kutoka pale madhabahuni, huyo malaika wa BWANA akapaa katika mwali wa moto wa madhabahu; nao Manoa na mkewe wakaangalia; wakainama kifudifudi.

Kusoma sura kamili Amu. 13

Mtazamo Amu. 13:20 katika mazingira