Amu. 13:21 SUV

21 Lakini malaika wa BWANA hakumtokea Manoa tena, wala mkewe. Ndipo Manoa alipojua ya kwamba ndiye malaika wa BWANA.

Kusoma sura kamili Amu. 13

Mtazamo Amu. 13:21 katika mazingira