Amu. 16:12 SUV

12 Basi Delila akatwaa kamba mpya akamfunga nazo, akamwambia, Wafilisti wanakujia, Samsoni. Na wale wenye kuotea walikuwa katika chumba cha ndani. Naye akazikata, akazitupa kutoka mikononi mwake kama uzi.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:12 katika mazingira