Amu. 16:13 SUV

13 Delila akamwambia Samsoni, Hata sasa umenidhihaki, umeniambia maneno ya uongo; niambie sasa, waweza kufungwa kwa kitu gani? Akamwambia, Ukivifuma hivi vishungi saba vya nywele za kichwa changu katika mtande wa nguo.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:13 katika mazingira