Amu. 16:2 SUV

2 Watu wa Gaza wakaambiwa, ya kwamba, huyo Samsoni amekuja huku. Wakamzingira, wakamvizia usiku kucha, penye lango la mji, wakanyamaza kimya usiku kucha, wakisema, Na tungoje mpaka mapambazuko, ndipo tutamwua.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:2 katika mazingira