Amu. 16:3 SUV

3 Basi Samsoni akalala hata usiku wa manane, akaondoka katikati ya usiku, akaishika milango ya lango la mji, na miimo yake miwili, akaing’oa pamoja na komeo lake, akajitwika mabegani, akavichukua hata kilele cha mlima ule unaokabili Hebroni.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:3 katika mazingira