Amu. 16:23 SUV

23 Kisha wakuu wa Wafilisti wakakusanyika ili kumtolea sadaka Dagoni mungu wao, na kufurahi; maana walisema, Mungu wetu amemtia Samsoni adui wetu mikononi mwetu.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:23 katika mazingira