Amu. 16:24 SUV

24 Na hao watu walipomwona wakamhimidi mungu wao, maana walisema, Mungu wetu amemtia mikononi mwetu huyu adui wetu, aliyeiharibu nchi yetu na kuwaua watu wengi miongoni mwetu.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:24 katika mazingira