Amu. 16:25 SUV

25 Ikawa mioyo yao iliposhangilia, wakasema, Mwiteni Samsoni, ili atufanyie michezo. Basi wakamwita Samsoni atoke gerezani, akacheze mbele yao wakamweka katikati ya nguzo mbili.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:25 katika mazingira