26 Samsoni akamwambia yule kijana aliyemshika mkono, Niache nizipapase nguzo ambazo nyumba hii inazikalia, nipate kuzitegemea.
Kusoma sura kamili Amu. 16
Mtazamo Amu. 16:26 katika mazingira