Amu. 16:27 SUV

27 Basi nyumba ile ilikuwa imejaa watu waume kwa wake; na wakuu wote wa Wafilisti walikuwamo humo, na juu ya dari palikuwa na watu elfu tatu waume kwa wake waliokuwa wakitazama, wakati Samsoni alipocheza.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:27 katika mazingira