Amu. 16:28 SUV

28 Samsoni akamwita BWANA, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:28 katika mazingira