Amu. 16:29 SUV

29 Kisha Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo nyumba ile ilikaa juu yake, akazitegemea, moja kwa mkono wake wa kuume na moja kwa mkono wake wa kushoto.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:29 katika mazingira