Amu. 17:4 SUV

4 Basi hapo alipomrudishia mama yake hizo fedha, mama yake akatwaa fedha mia mbili, akampa fundi mwenye kusubu fedha, naye akafanya sanamu ya kuchonga kwazo, na sanamu ya kusubu; ambazo zilikuwa ndani ya nyumba ya Mika.

Kusoma sura kamili Amu. 17

Mtazamo Amu. 17:4 katika mazingira