Amu. 17:5 SUV

5 Basi mtu huyo Mika alikuwa na nyumba ya miungu, naye akafanya naivera, na kinyago, akamweka wakfu mmoja miongoni mwa wanawe, akawa kuhani wake.

Kusoma sura kamili Amu. 17

Mtazamo Amu. 17:5 katika mazingira